Enduimet inajiandaa kwa ajili ya uendeshaji baiskeli!

Afisa wa Utalii wa Honeyguide, Komolo Simel, anaandaa mashindano ya baiskeli yatakayofanyika katika WMA ya Enduimet. “Lengo letu ni kutoa uelewa kuhusu shughuli za utalii za ajabu zilizopo Enduimet na kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia WMA katika kuhifadhi wanyamapori na maliasili zake….” alisema afisa huyo. Waandaaji wa Honeyguide kwa ajili ya tukio hili tayari