Uokoaji wa Mtoto wa Simba

'Acha asili ichukue mkondo wake' ni msemo wa Kiingereza unamaanisha kuwa pasiwe na uingiliaji wa binadamu. Hili lilikuwa likaribu kutokea kwa mtoto wa simba aliyekuwa peke yake aitwaye Kali wakati kundi lake lilikula nyati, naye kwa bahati mbaya alijikuta amenaswa chini ya mzoga. Baada ya msukosuko wa masaa matano ya kuchoka, uokoaji uliofanywa na Honeyguide