Wapya Wajiunga na Kikosi cha K9 cha Serengeti

Ufuatiliaji ulikuwa umeanza. Kikosi cha mbwa (K9) cha Serengeti kilikuwa kinafuatilia kwa ukaribu nyayo za mwindaji haramu mwingine. Emmanuel Issak, kiongozi mkuu wa kikosi cha K9, alikuwa bado na wasiwasi kidogo, kwani alikuwa ameshaanza tu kupokea mbwa wapya wa kikosi kutoka kwa washirika wetu, African Wildlife Foundation. Hakutaka tu kuona jinsi walivyoweza kufuatilia harufu ya

Pangolin Aliyeokolewa Kutoka Safari Isiyotakiwa Kwenda China.

Wamasai wanaamini utabarikiwa na maisha marefu ukiwa na bahati ya kuona pangolin. Kiumbe hiki cha ajabu—mamalia pekee aliyefunikwa na magamba—ni moja ya vitu vinavyotafutwa sana katika biashara haramu ya wanyamapori. Hivi karibuni, walinzi katika Makame walipata pangolin, ambaye alikuwa anakwenda kuuzwa kinyume cha sheria, kutoka kifo kisicho na huruma. Baada ya kupokea taarifa, walinzi walimwokoa

Go to Top