Jamii zina uwezo wa kusimamia biashara kubwa
Ni jambo la kawaida kusikia, 'Jamii za mitaa hazina ujuzi wa kusimamia maeneo ya uhifadhi.' Hii inaweza kuwa kweli kiasi fulani, lakini je, hatupaswi kujiuliza kwa nini hali hii bado inaendelea na nini kinafanywa kubadilisha hali hiyo? Wanajamii wa mitaa wana uwezo kamili, na tunapaswa kuelekeza uwekezaji wetu hapa, zaidi ya nyanja za jadi

